Social Icons

Pages

Thursday, 30 January 2014

TADEPA ni nini?

  TADEPA 

TANZANIA DEVELOPMENT AND AIDS PREVENTION ASSOCIATION.

TADEPA kwa kirefu TANZANIA DEVELOPMENT AND AIDS PREVENTION ASSOCAITION ni shirika lisilo la kiserikali (NGO) lililoko Mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba Mjini. Shirika hili liliundwa na kusajiliwa mnamo mwaka 1997. Mnamo mwaka 2009 Shirika hili liliruhusiwa kufanya kazi Tanzania Bara.

TADEPA hushughulukia matatizo ya jamii kupitia miradi yake mingi iliyoianzisha Mkoani Kagera japokuwa lengo kubwa la shirika ni kupambana na maambukizi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI.

Ofisi za TADEPA (Makao Makuu) zipo:
Manispaa ya Bukoba Mjini,
Mtaa wa Zamzam.

Anuani (Mawasiliano):
Sanduku La Posta 1603, BUKOBA
Barua pepe: tadepaprojects@gmail.com
Tovuti: www.tadepa.net