Social Icons

Pages

Sunday, 30 March 2014

Tovuti Yetu

Habari zebu wapendwa!!! Mnakaribishwa kutazama TOVUTI yetu iliyokuwa chini ya matengenezo na sasa iko hewani!!!! Itazame kwa kubofya hapa: Welcome to Tanzania Development and AIDS Prevention Association - TADEPA Online

Monday, 10 February 2014

MIRADI MBALIMBALI YA TADEPA

TADEPA tangu kuanzishwa kwake imefanya  miradi mingi kwa kushirikiana na Mashirika mengine yasiyo ya kiserikali kama vile:
ICAP, JOHN HOPKINS BLOOMBERG UNIVERSITY OF PUBLIC HEALTH, AFRICARE & KAYA CCI.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za miradi zilizokwisha fanywa na TADEPA tangu kuanzishwa kwake.


Thursday, 30 January 2014

TADEPA ni nini?

  TADEPA 

TANZANIA DEVELOPMENT AND AIDS PREVENTION ASSOCIATION.

TADEPA kwa kirefu TANZANIA DEVELOPMENT AND AIDS PREVENTION ASSOCAITION ni shirika lisilo la kiserikali (NGO) lililoko Mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba Mjini. Shirika hili liliundwa na kusajiliwa mnamo mwaka 1997. Mnamo mwaka 2009 Shirika hili liliruhusiwa kufanya kazi Tanzania Bara.

TADEPA hushughulukia matatizo ya jamii kupitia miradi yake mingi iliyoianzisha Mkoani Kagera japokuwa lengo kubwa la shirika ni kupambana na maambukizi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI.

Ofisi za TADEPA (Makao Makuu) zipo:
Manispaa ya Bukoba Mjini,
Mtaa wa Zamzam.

Anuani (Mawasiliano):
Sanduku La Posta 1603, BUKOBA
Barua pepe: tadepaprojects@gmail.com
Tovuti: www.tadepa.net