Social Icons

Pages

Featured Posts

Wednesday, 2 November 2016

ICAP Job Vacancies

Please be advised that we have several vacancies at ICAP.  The vacancies are in various regions and local settlers within those regions will have an added advantage to the opportunities. The Vacancies are as follows:

1.       Field Officer (8 positions) in Mwanza, Mara, Geita, Simiyu, Kigoma, Tanga, Pwani and Dar es salaam
2.       Data Officer (7 positions – one per region) in Geita, Mara, Simiyu, Kigoma, Tanga, Pwani and Dar es Salaam
3.       Administrative Assistant (5 positions – one per region) in Geita, Mara, Simiyu, Kigoma and Tanga
4.       Project Coordinator (7 positions – one per region) in Mara, Geita, Simiyu, Kigoma, Tanga, Pwani and Dar es salaam
5.       Program Drivers (8 positions) in Geita (2 positions), Mara (2 positions), Simiyu (1 position), Kigoma (2 positions), Tanga (1 position)


Deadline for receiving application is 7th November 2016 

For more information click here>> >>> www.tadepa.net

Sunday, 30 March 2014

Tovuti Yetu

Habari zebu wapendwa!!! Mnakaribishwa kutazama TOVUTI yetu iliyokuwa chini ya matengenezo na sasa iko hewani!!!! Itazame kwa kubofya hapa: Welcome to Tanzania Development and AIDS Prevention Association - TADEPA Online

Monday, 10 February 2014

MIRADI MBALIMBALI YA TADEPA

TADEPA tangu kuanzishwa kwake imefanya  miradi mingi kwa kushirikiana na Mashirika mengine yasiyo ya kiserikali kama vile:
ICAP, JOHN HOPKINS BLOOMBERG UNIVERSITY OF PUBLIC HEALTH, AFRICARE & KAYA CCI.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za miradi zilizokwisha fanywa na TADEPA tangu kuanzishwa kwake.


Thursday, 30 January 2014

TADEPA ni nini?

  TADEPA 

TANZANIA DEVELOPMENT AND AIDS PREVENTION ASSOCIATION.

TADEPA kwa kirefu TANZANIA DEVELOPMENT AND AIDS PREVENTION ASSOCAITION ni shirika lisilo la kiserikali (NGO) lililoko Mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba Mjini. Shirika hili liliundwa na kusajiliwa mnamo mwaka 1997. Mnamo mwaka 2009 Shirika hili liliruhusiwa kufanya kazi Tanzania Bara.

TADEPA hushughulukia matatizo ya jamii kupitia miradi yake mingi iliyoianzisha Mkoani Kagera japokuwa lengo kubwa la shirika ni kupambana na maambukizi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI.

Ofisi za TADEPA (Makao Makuu) zipo:
Manispaa ya Bukoba Mjini,
Mtaa wa Zamzam.

Anuani (Mawasiliano):
Sanduku La Posta 1603, BUKOBA
Barua pepe: tadepaprojects@gmail.com
Tovuti: www.tadepa.net